Upande wa mashabiki wa Yanga ukisherehekea goli la kusawazisha la pil
Polisi walikuwa makini kufanya kazi yao kuhakikisha usalama unakuwepo uwanjani
Yanga wakimzonga Refarii baada ya mchezaji mwenzao kupewa kadi nyekundu
Umati wa mashabiki wa Simba ukifuatilia pambano kwa umakini mkubwa
Mashabiki wakiwa wanafuatilia mpambano
Mashabiki wa Yanga hawakukata tamaa muda wote walishangilia tuu
Muda unazidi kuyoyoma mambo ndio kama hivyo
Uhuru Seleman akimpita beki wa Yanga Amir Maftah huku Chuji akiangalia kwa umakini mkubwa

Ngasa huyo akijaribu kumpita beki wa Simba lakini wapi kijana alibanwa sana leo
Mgosi akimtisha kipa wa Yanga Obrein Curkovic
Hapa ilikuwa 3-3,lakini punde simba wakafunga goli la 4 NA kuhitimisha mpambano wa leo kwa simba kuibuka kidedea
No comments:
Post a Comment