Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia
Psquare Ft. J.Martins- E No Easy
Tuesday, March 9, 2010
AJALI NI MBAYA!!! TUWE MAKINI TUWAPO BARABARANI
Pichani ni baadhi ya magari magumu na ghali kuliko yote duniani. Lakini hebu jionee yalivyokuwa baada ya ajali.. Cha msingi ni kuwa makini barabarani, tupunguze vifo vitokanavyo na ajali za barabarani, wenzangu na mie mnaokunywa na kuendesha, acheni hiyo tabia mara moja!
No comments:
Post a Comment