
unaweza kusema kuwa huu ni mwaka wa msanii chipukizi Diamond...kwani usiku wa leo katika tuzo za kili ameibuka kidedea kuliko wasanii wote kwa kuzoa tuzo tatu kwa mpigo...pichani anaonekana akifurahia tuzo hizo akiwa na mama yake mzazi!

diamomd akikabidhiwa tuzo ya wimbo bora wa mwaka 'kamwambie' na imani madega wa yanga

...ni furaha tuu

ankal michuzi akikabidhi tuzo ya Walk of fame kwa mzee Zahir zorro

mzee zorro akiwa na familia yake, banana na maunda

timu ya watangazaji wa radio Clouds FM, akiongozwa na mkurugenzi Ruge Mutahaba (aliyeshika tuzo) wakipokea tuzo ya WALK OF FAME kwa mchango wake katika kuendeleza muziki wa kitanzania
No comments:
Post a Comment