Nimekuja tofauti kabisa katika mzigo wangu wa SURPRISE na nina uhakika kwa wapenzi wangu wa movie ambao wameshaona baadhi ya movie zangu na mzigo wangu uliopita wa MY DREAMS ambao kila kukicha napewa pongezi za hapa na pale humu kwenye SURPRISE nimecheza kipekee mpka nimekuwa kichekesho location maana crew yangu ya production hawaamini kile ninachokifanya kwakweli nimecheza sana,hata ukiona baadhi ya picha utaona kweli nimechange,Ama kweli hii itakuwa SURPRISE kwa mashabiki wangu

Haya ndio maisha yangu

Natafuta riziki

Kazi ni kazi bwana

Wacha nitaabike ipo siku tu
KUONA PICHA ZAIDI TEMBELEA RAYTHEGREATESTBLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment