Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, February 26, 2010

JE WAYAJUA MAGARI MATATU GHALI KULIKO YOTE DUNIANI??Namba moja inakamatwa na Bugati Veyron linalouzwa kwa dola za kimarekani $1,700,000, hili ndilo gari ghali kuliko yote linalopatikana sokoni kwa hivi sasa. Ni gari lenye speed na uwezo mkubwa kushinda yote likifika 60 mph ndani ya sekunde 2.6 likiwa na top speed ya 253mph

No comments:

Post a Comment