Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, February 24, 2010

T. I AACHILIWA HURUHabari Nzuri kwa wale wapenzi wa miondoko ya Hiphop, Nguli wa muziki wa aina hiyo ambaye jina lake kamili ni Clifford Joseph Harris Jr aliyezaliwa september 25 1980 huko mjini Atlanta Georgia, Usa. Alihukumiwa kifungo cha mwaka mmoja baada ya kukiri kosa la kumiliki silaha kinyume cha sheria. T.I Amewaahidi mashabiki wake mambo mazuri sababu anakaribia kumaliza album yake ya nne itakayokwenda kwa jina la KING.
Tukae mkao wa kula na tutarajie mengi kutoka kwa rapper T.I.

No comments:

Post a Comment