Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, August 19, 2010

ACCOMPLICE IN MURDERHali ya kusikitisha pale kwa Michuzi Jr. Watu kadhaa wamesimama kwa amani wakiangalia binaadamu mwingine akiuwawa kwa kuchomwa moto. Kwa namna moja au nyengine wale waliosimama wanaweza kuchukuliwa kama ni washiriki katika mauaji. Hawakuchukua hatua chanya katika tukio zima.

Polisi wako wapi?

No comments:

Post a Comment