Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, August 26, 2010

Picha chafu yamtesa Lulu


Staa anayeshikilia kipaji chake kwa mikono miwili ndani ya chimbo la filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, anateswa na picha chafu aliyodai ni ya kutengenezwa inayosambaa mitandaoni huku vijana wakipasiana kama mpira kwenye simu, Risasi Mchanganyiko linaripoti.

Akifafanua ishu hiyo mbele ya gazeti ‘first class’ la mastaa Bongo, Risasi, alipotinga makao makuu ya ‘pepa’ hili, Sinza-Bamaga, Dar hivi karibuni, Lulu alidai kwamba picha hiyo siyo yake asilani bali imetengenezwa na wabaya wake wenye lengo la kumchafulia jina.

Lulu alidai kwamba, picha hiyo inayopatikana zaidi katika Mtandao wa Facebook, inafananishwa na yake hivyo kuiweka kuwa moja ya vitu vinavyoutesa moyo wake kwasasa

Hii ndiyo picha inayomtesa Lulu

“Teknolojia inatuharibia, ukweli ni kwamba ile picha siyo yangu, imetengenezwa kwani kiwiliwili siyo changu, kinachoonekana ni sura yangu lakini sina maumbile ya aina ile,” alisema Lulu na kuongeza:

“Ni moja ya vitu vinavyoutesa moyo wangu kwa sasa.”
Muigizaji huyo ‘Sidanganyiki’ alisema kwamba, amekuwa akijitahidi kuwaelewesha baadhi ya watu wakiwemo wazazi na wanafunzi wenzake wanaomtuhumu kuwa picha hiyo ni yake lakini wanaonekana kutomwelewa.

Lulu alitumia ‘intavyu’ hiyo kuwaomba watanzania waelewe kwamba picha hiyo ambayo Risasi ina ‘kopi’ yake hakuipiga yeye na kwamba watu wanamfananisha tu na katika maisha yake hajawahi kupiga picha za utupu.

“Watanzania ambao ndiyo mashabiki wa kazi zangu wanapaswa kujua kwamba sijawahi kupiga picha ya utupu kama hiyo maishani mwangu na wala sitegemei kufanya hivyo hadi Yesu atakaporudi mara ya pili kuchukua walio hai na wafu,” alisema Lulu na kuongeza:

“Natumia fursa hii kuifahamisha jamii kwamba mimi ni msanii mwenye maadili na ni kioo cha jamii hivyo waendelee kunielewa hivyo na si vinginevyo.”

45 comments:

 1. jitunze dada maisha ni zaidi ya kuongea ni matendo zaidi yatakulinda mama. mwangalie doly anatamani kununua picha zake zote chafu watoto na wajukuu wasizione ila ndo haisaidii wamesha mwona mama

  ReplyDelete
 2. Mimi nalaumu Mediak2wa kumpa nafasi huyu Lulu ili aweze kupublish upumbavu wake. Mara baada ya kumgundua kuwa hana maadili Media ingem-discourage kum-publish kwa sababu inaonekana kuwa nia yake ni kiuonekana.

  Mama Flora Mikocheni

  ReplyDelete
 3. csta,maneno hayajengi.ushawah kuona wap m2 kajenga nyumba kwa maneno?jitunze,unatuyia aibu cc km wacchana wenzio.

  ReplyDelete
 4. csta,maneno hayajengi.ushawah kuona wap m2 kajenga nyumba kwa maneno?jitunze,unatutia aibu cc km wasichana wenzio...!!!!!!!

  ReplyDelete
 5. she might be on her age because as the days goes on mambo ya fashion na ustaaar yatakwisha atatakiwa kuwa mwenye staaha ya ali ya juu.....maadili ya namna hii ndo maana bongo wanasannaa wanakuwa na tija sifuri......Jeremiah ,Wandili-TUMAINI UNIVERSITY IRINGA

  ReplyDelete
 6. kweli huyu mtoto anatisha!kumbe kukimbia kwakwe nyumbani alikua nasababu?

  ReplyDelete
 7. dada unatutia aibu watanzania wezako,mbona hata hizo hipsi zako ni kama za bata,hata shepu yenyewe huna.yani upo full kiroba.bora utulie achana na picha za uchi.tulia mungu atakujalia.by doctor

  ReplyDelete
 8. Inawezekana ikawa sio wewe lkn jamii utailezea nini ili ikuelewe labda uende kwenye vyombo vya habari utangazie uma.

  ReplyDelete
 9. HYO YAKO DOGO BG UP KWA UJINGA

  ReplyDelete
 10. PICHA YA KU EDIT INAJULIKANA MAMA IT IMELALA HAPA

  ReplyDelete
 11. we mtoto naona sasa umeishiwa thats why umeamua kutuonesha utupu

  ReplyDelete
 12. acha hizo hiyo picha siyo edit badili mwenendo wewe!

  ReplyDelete
 13. wewe usijizalilishe kwa kutafuta umaarufu maisha ni zaidi ya pesa na umarufu

  ReplyDelete
 14. kwakweli watu wa IT muache tabia mbaya, huo usomi wenu na taalumma zenu mzitumie vizuri kwani mkumbuke waht goes around always comes around na aliyefanya hivyo hana Mbingu labdanya mabox mbagala

  ReplyDelete
 15. guilty until proven innocent isnt da easy thing,badly enough, all evidence points to you that you have done it,oh young lady,you need to prove beyond the reasonable dought.REMEMBER THIS 'Being a star doent guarantee you to mis behave' a star with poor education like yours is hopeless.You are disgusting coz i see u as ma little sister.

  ReplyDelete
 16. hahahaha unavuna ulichokipanda lulu cz tumeshakuzoea kila siku tetesi sijui haujishtukizii???

  ReplyDelete
 17. jamani badilika na MUNGU atakusaidia

  ReplyDelete
 18. some timez wa2 huwa wana zusha 2 so dont mind about that photo...

  ReplyDelete
 19. nakuonea huruma madame bt u hve 2 thnk unavyosema z nt u ila wamekufanyia2 maujanja kwann iwe ww 2 na c wengine?control ur self dis z lyf2 n take care utapotea mtoto!

  ReplyDelete
 20. JAMANI! WEWE MTOTO UMEZIDI SASA EHEE....... THIS IS TOO MUCH.

  ReplyDelete
 21. WEWE IYO PICHA NI KUEDIT KAMA UNABISHA LETA PICHA YKO 2KUONYESHE WANAVYOFANYA ITS ME SUNDAY CHEK ME ON SUNDAYSTEPHEN63@YAHOO.COM

  ReplyDelete
 22. msenge we yaani unaacha kujali utu wako unatuwekea umalaya wako kumamako

  ReplyDelete
 23. pumbavu xana hivi wewe una2fundisha nn xixi kama jamii coz msanii ni kioo cha jamii kwa hiyo xi ndo 2fuate huo upumbavu wako shindwaa na ulegee katika jina la YESU.

  ReplyDelete
 24. Take one, Action

  ReplyDelete
 25. Dada lulu hapa umechemsha umehalibu kila kitu lengo la mwanamke duniani ni kuja kuishi na mwanaume baada ya kukua na kutoka kulelewa na wazazi wake kwako sahau hilo utaishiwa kulambwa tu....

  ReplyDelete
 26. sisi wa TZ tuliowengi Ktk nchi za watu,kweli tunashindwa kusema kama huko nikwetu. Tatizo ni hichi kitoto.Sijui tuseme kinamatatizo ya akili au vipi?hatuelewi.
  Uzuri haupo,Kiuno hakipo,msuli haupo,maziwa hayapo yani nisawa na kijidudu fulani tu ...AIBU TUPU BUT UTAPATA MDONDO WA WATU KAMA 6 UTAKOMA

  ReplyDelete
 27. BIO UNIVERSITÄT DEUTSCHLAND.
  EWE KIJUKUU CHA IBLIS TULIZA AKILI SISI TUNAWAZAZI ;KAMA WEWE HUNA BASI TULIA WATUTIA AIBU KUBWA WATZ PLS KIKOJOZI WEWE TULIA;
  KIPAPA WENYEWE CHANUKA VIKOJO SASA NINI MBAYA NA WEWE:

  ReplyDelete
 28. (UK) WANAWAKE HATUNA SURA KWAALI YAKO WEWE FISADI KIWEMBE;MBONA WANAUME HAWAKAI KAMA HIVYO;
  AU WEWE PEKE YAKO NDO MWENYE KUMA SISI HATUNA
  KWALIPI KUBWA ULILONALO SISI TULICHO NYIMWA:
  KWAHIYO;UFAHAMU KIFUNIKWACHO HULIWA HUACHWA KILICHO WAZI;WEWE UTALIWA NA NZI PUMBAVU:NYAU;KUNGURU USOHAYA:WEWE SI LULU UCHAFU WA LULU:

  ReplyDelete
 29. Am sorry Lulu don't mind them,coz money is everything they are just but jealous of you,jealous is root of fever fuck them all. SORRY FROM FTL KENYA

  ReplyDelete
 30. oh lulu, I know editing can happen..pole sana..just take care and look after yourself gal..dont let the bad words get you down.....take care and be good

  ReplyDelete
 31. WHEN THEY PUSH DOWN JUST GET BACK NOW... NO BODY IS PERFECT BECAUSE EVERY BODY IS PEOPLE. APOLOGIES TO YOUR FRIEND AND TAKE THEM BACK SLOWLY AGAIN. TURN ON EVEN IF THE WHOLE WORD IS AGAINST YOU. YOU ONLY HUMAN.

  ReplyDelete
 32. THE SINNER IS ONE WHO IS JUDGE HU IS WRONG

  ReplyDelete
 33. Pamoja na yote hayo yaliyotokea yawezekana kweli picha hiyo wameiadobe (photo editing) jifunze kutokana na makosa,Kutokana na skendo ulizonazo mpaka sasa ni vigumu yeyote kuamini si wewe, How could you see in-front of your nose, Jipe moyo simama tena.

  ReplyDelete
 34. POLE SANA DADA HIVI NI U HAVE KILLED OUR GREAT KANUMBA?

  ReplyDelete
 35. mmmh nimekuchoka lulu, dis iz 2 much dia one, grow up!!

  ReplyDelete
 36. Thanκs on уour marvelous posting!
  I гeally enјoyed reading it, you might be a
  great author. I will remember to boоkmark your blοg anԁ mаy
  cοme back at sοme pοint.
  I ωant to encourаge you to ultimatеly continue уour great job, have а niсe mornіng!


  my site v2 cigs coupon codes
  Here is my blog post - v2 cigs coupon code

  ReplyDelete
 37. It's really a great and useful piece of info. I am happy that you shared this helpful information with us. Please stay us informed like this. Thank you for sharing.
  Also visit my web page ... amazon bodylastics

  ReplyDelete
 38. Revitol cгеаm is far far more οf
  a preventativе ratheг thаn a resolution.


  Heгe is my wеbsіtе; www.dmvsportbikes.com
  my web page :: trilastin review

  ReplyDelete
 39. The signals connect with concentrated nerve places, which in turn spread the signal to the complete abdominal region.


  My webpage flex belt
  my website :: flex belt coupon code

  ReplyDelete
 40. jamani kama sio yeye tusizalilishane kiasi hicho

  ReplyDelete
 41. Incrеasingly people are adορting thiѕ аpproаch
  which theу're discovering pretty very simple to practice.

  Check out my web page - Learn More Here

  ReplyDelete
 42. The belt could be worn wherever so you can get a great perform out taking a cat nap or
  washing property.

  Also visit my web page - http://mcitpfamilysupportnetwork.ning.com/profiles/blogs/flex-belt-information-and-facts

  ReplyDelete
 43. But, do not get also thrilled only yet. They offer you preventive and corrective
  therapy and also offer health care education.

  my weblog The flex mini

  ReplyDelete
 44. HUwiiii.lulu wapo wazuri zaidi yako but wanaeshimu uchi wao sasa wewe mbona ivoo mtoto.kuwa mpole dunia haikumbatiwi.mche mungu nenda church sana.dunia mapito tuu.mmmmmhhhh.poleeeee

  ReplyDelete