Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Saturday, August 21, 2010

SAFARI YA WAREMBO VODACOM MISS TANZANIA KUTOKA DAR ES SALAAM-ARUSHA!!Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakipita kando ya daraja la mto Wami lililop[o Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kilimnjaro na Arusha katika mbuga za Wanyama na vivutio vya UtalaiBaadhi ya Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakipiga picha kando ya daraja la mto Wami lililop[o Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kilimnjaro na Arusha katika mbuga za Wanyama na vivutio vya Utalaii

Baadhi ya Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010 wakifanya manjonjo yao mbele ya Kamera ya Video kando ya daraja la mto Wami lililopo Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani jana wakiwa safarini kuelekea mikoa ya Kilimnjaro na Arusha katika mbuga za Wanyama na vivutio vya Utalaii.

No comments:

Post a Comment