Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, August 23, 2010

Mwanamke Shurti Utundu..Kitandani..


Unakuta msichana mzuri,she got it all lakini mpenzi wake au mume ana-mcheat…..Sometimes sisi (wanawake) tunakuwa sababu ya wapenzi wetu kwenda nje na kutuacha ndani….You dont need to act like he is your brother na wakati unajua kabisa ni Mpenzi wako….Do something extra on bed uweze kumchanganya mpenzio.
A friend of mine,I mean Male friend was telling me kisa ambacho kikanigusa hata nikasema itabidi tu nikiweke ili tujifunze kutoka kwa wenzetu.He told me alikuwa anadate this girl,presentable one lakini msichana mwenyewe anabore to the extent when it comes to sexy bcause she feeeling shy and all that..Mwisho wa siku akaamua abwage manyanga ingawa relationshiop is not all about sexy but it matterz banaaa!kaka wa watu akaamua KUSEPA loll!Sasa ukijiuliza bi dada alikuwa anaona aibu ya nini na wakati wako wawili tu chumbani jamani?????Hapo inakuja my point kuwa saingine sisi wanawake tunachangia kuvunja mahusiano yetu kwasababu when he goes outside,atakutana na yule ambaye Kichaa to the maximum na anafanya mautundu yote ikiwa ni pamoja na kumchanganya mwanaume…Sasa wewe aibu ya nini???Grow Up ,show what you got from your mama!

No comments:

Post a Comment