Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, September 19, 2010

KIM KARDASHIAN NA LADY GAGA WAIJIA JUU KAMPUNI YA KUTENGENEZA WADOLINi baada ya kampuni mmoja kutengeneza madoli ya kufanyia mapenzi inayofanana na masupastaa hao.
Kim kardashiani pichani ameitaka kampuni hiyo kusimamisha uzalishaji huo.

Mwanasheria wa mwanadada huyo ajulikanae kwa jina la Shawn Chapman Holley amewandikia barua kampuni ya Pipedream Products, Inc inayoonyesha orodha ya masupastaa ambao wametengenezewa midoli ya aina hiyo na kwamba kampuni hiyo inachokidai kuwa haikufanya makusudi ni uwongo.

Wakati huo huo mwanamziki alie nyanyasa katika tuzo za MTV Video musia awards Lady Gaga amesema ataishitaki kampuni hiyo kwa kuvunja hatimiliki na kuwa sisitiza waondoe picha za madoli walioyaweka katika mtandao wa intanenti.

No comments:

Post a Comment