Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Saturday, September 4, 2010

MC KESSY ALIVYOPATA JIKO TAREHE 28/08/2010


Mimi ni MC KESSY (Michael F. Kessy ) Wa Millenium Tower Makumbusho,
Hizi ni picha za harusi yangu iliyofanyika katika ukumbi wa Police
Mercie baada ya kutoka kanisa la Katoliki St Joseph Jumamosi ya tarehe
28/08/2010 hizi ni baadhi tu ya picha za ukumbini nikiwa na mke
wangu kwenye keki.

1 comment:

  1. Mmependeza sana na Mungu abariki ndoa yenu na kila siku mtangulizeni Mungu kwa kila jambo.

    Mary K

    ReplyDelete