Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, September 3, 2010

MAMA SALAMA KIKWETE ASHUHUDIA AJALI HANANG
Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete juu kushoto pichani anayewatambulisha wagombea wa udiwani Hanang jana alisimamisha msafara wake na kwenda kuwapa pole wananchi waliopatwa na ajali ya basi lililokuwa likitokea Babati kuelekea Hanang , katika ajali hiyo hakuna mtu aliekufa ila kulikuwa na majeruhi ambapo walikimbizwa hospitalini.Basi lenye namba za usajili T477 AQN likikwa limepata ajali katika wilaya ya Hanag kata ya Dareda jana hakuna mtu aliyekufa katika ajali hiyo.

Hawa ni wanachi walinusurika katika ajali hiyo wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara wasijue la kufanya mama Salam Kikwete alisimamisha msafara wake na kuwapa pole kwa ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment