Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, September 15, 2010

LULU ALEWA CHAKARI SIKU YA IDD MOSI!!
Awali wawili hao walikutwa na kamera yetu ndani ya Ukumbi wa Sun Sirro uliopo Shekilango Ubungo jijini Dar ambapo kulikuwa na uzinduzi wa kundi la Tip Top Connection na baadaye kuibukia katika Klabu Billicanas.

Akiwa ‘Bills’ na ‘shosti’ wake walizidi kugida bia na kadri muda ulivyozidi kusogea mbele ndani ya ukumbi huo, ndivyo Lulu alivyokuwa akionekana kulemewa kimtindo.

Kati ya watu waliokuwa karibu yao ni ‘Pedeshee’ mmoja mwenye asili ya Kihindi ambaye alijipendekeza kwa Lulu kwa kulipia vinywani na vilaji akiwa na lengo la kuondoka na msanii huyo kwenda naye anakokujua yeye.

Hata hivyo, ilifika mahali Lulu alzidiwa na pombe hizo na kuonekana kama vile alikuwa akitaka ‘kuangusha gari’


Ilifikia hatua Lulu aliamua kutafuta sehemu ya kuegemea kutokanana kuzidiwa na pombe na kuinamisha kichwa kulala huku ‘Kanjibai’ huyo akiwa anemmezea mate pembeni yake.

Baadaye msanii huyo aliyekuwa mguu kwa mguu na shostito wake walishtukia mtego wa Pedeshee huyo wa Kihindi na kumtoka kiaina wakimwmabia wanatoka kidogoMdosi baada ya kubaini kwamba ameachwa ‘njia panda’ alionekana akizagaazagaa huku na kule kumsaka msanii huyo na shoga yake lakini bila ya mafanikio kwani kwa wakati huo ilishatimu saa kumi na moja kasoro robo alfaajiri ambapo Lulu na shoga yake walichomoka na kuelekea pande za Sinza Makaburini.


‘Shosti’ wake Lulu.

Kamera yetu ilipowakimbiza pande hizo iliwakuta wamepiga kambi kwenye hoteli moja (jina tunalo) na baadaye kuelekea makwao huku wakiwa katika gari aina ya Hiace nyekundu iliyokuwa na wanaume wanne kama mabaunsa wao.

1 comment: