Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia
Psquare Ft. J.Martins- E No Easy
Friday, June 4, 2010
Bajaji yala mzinga Dar!!
Dereva wa Bajaji iliyokuwa na namba za usajili T 460 ATQ. Amenusurika kifo baada ya Bajaji aliyokuwa ameiendesha kugongwa na gari dogo aina ya Carina.
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa 12 kasoro jioni, wakati gari hilo likitokea barabara ya Ohio na makutano ya Garden Avenue, ghafla kishindo kikubwa cha breki kutoka katika gari hilo lililokuwa na namba za usajiri T 499 BEH. Aina ya Carina, na kisha kukigonga kibajaji hicho.
Hata hivyo dereva wa bajaji huyo alinusurika baada ya kuchomoka na kisha kukaa pembeni.
Ajali hiyo ilisababisha foleni kwa magari yaliyokuwa yakipita barabara hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment