Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, June 13, 2010

Namjua anayenichafulia jina ila sifwatilii mambo ya kiswazi- Aisha Madinda


Hatimaye Mnenguaji maarufu Aisha Madinda ameibuka na kuzoza na gazeti moja jijini Daresalaam akizikana picha zake za utupu zilizosambazwa mtandaoni na kwenye magazeti ya udaku a.k.a magazeti pendwa.

Akiongea na gazeti hilo alidai anamjua mtu anayemchafua hizo picha ametengeneza kwa sababu alimtolea nje

Ninamfahamu anayechapisha na kusambaza picha za ngono halafu anadai ni zangu, namuacha aendelee kwa sababu sipendi mambo ya kiswahili, mapenzi si lazima ni hiyari ya mtu kama umekataliwa tumia mbinu nyingine." mwisho wakunukuu.

Hivi karibuni kuna picha zilikuwa zimezagaa zikimuonesha mdada huyo akiwa mtupu huku kalewa zinazooneshwa alipokuwa nchini Afrika ya Kusini.

1 comment:

  1. Ebwanaee tumewazoea dada zetu wanaona kukaa uchi ni dili sanaa ila watambue mungu yupo na kila mtu atajibu mbele zake

    ReplyDelete