Wanafunzi watanzania wakionyesha uhodari kwenye uchezaji wa ngoma ya Kihaya, Mbali na kusoma wanafunzi wanaosoma nchini Malaysia wamekuwa wakionyesha utamaduni wa makabila mbali mbali yanayopatikana nchini Tanzania. Picha hii ilitoka kwenye gazeti la The Malay Mail likiwa na story Little Tanzania in Malaysia.
No comments:
Post a Comment