Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, June 9, 2010

Mama Salma kikwete ahudhuria kikao cha "First Ladies and Princesses wa dunia Washington” !!






Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa miongoni mwa mwa wake wa marais kadhaa waliohudhuria ufunguz rasmi wa mkutano wa pili wa “Women Deliver”duniani uliofanyika Washington DC,tarehe 5-7 June, 2010.

Wengine katika picha ni Mama Ernestina Naadu Mills, Mke wa Rais John Attah Mills wa Ghana,Mama Sia Nyama Koroma mke wa Rais Ernest Koroma wa Sierra Leone na Mama Shadya Karume, mke wa Rais Aman Karume wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment