Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia
Psquare Ft. J.Martins- E No Easy
Friday, June 4, 2010
Super Rapper wa Kibongo anayetuwakilisha Mamtoni!
Mwana anaitwa Proveli Paragon Hip Hop Artist,Mbongo ambaye alianzia mishemishe za muziki nchini Canada zaidi ya miaka 10 sasa amerudi Bongo na Target yake ni kuunganisha Hip Hop ya Tanzania na ya Canada.Kwani mwana ameshafanya show na wakali kama Flo-Rida,Lil Wayne,NAS walipokwenda nchini Canada na wengine kibao.
Mwana ana track kibao zinazoshika kama Dirty Lover,na track mpya Slow Burning ambazo amerekodi nchini Canada,na sasa yuko kwenye mikakati ya kumalizia Recording Studio yake pande za Makongo Juu itakayoitwa PEPONI RECORDS.
Sikiliza track yake hapa.
">
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment