Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, June 16, 2010

HUJAFA HUJAUMBIKA BADO,HUYU NI MTOTO YATIMA ANATESEKA KWA KUKOSA MSAADA WA MATIBABU




Mtoto huyu ni mkazi wa Kijiji cha Mtitu wilaya ya Kilolo ambapo kwa sasa anasoma darasa la tano na hapa alipo anaishi na shangazi yake wazazi wake wote wawili walifariki dunia,kumbuka ikiwa leo ni siku ya mtoto duniani.

No comments:

Post a Comment