Hawa ni watanzania wanaoitangaza nchi yetu ya Tanzania katika sanaa waifanyayo,mchezo huu unaitwa CONTORTION.Hassan na Lazaro kwa pamoja wanajiita PLASTIC BOYS. Kwa sasa wako nchini Australia chini ya kampuni yao ya Mother Africa yenye maskani yake nchini Ujeruman.
Hongereni vijana!!
No comments:
Post a Comment