Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, April 6, 2010

Anayetaka Dola milioni moja aonyeshe kipele chochote usoni mwangu
Mwanadada Alicia Keys anasifika kuwa miongoni mwa kinada warembo duniani. Hivi majuzi aliudhiwa na kauli ya dada mmoja aliyesema kwamba Alicia keys hana uzuri wowote bali vipodozi vinamsaidia. Alicia Alijibu kwa kumuambia kwamba, 'Naenda kuosha uso wangu kisha narudi unionyeshe kipele chochote utakachokiona kwenye uso wangu, ukifanikiwa nitakupa cheque ya dola milioni moja hapahapa. Dada huyo alikagua uso bila mafanikio yoyote na hivyo kulikosa donge nono!

No comments:

Post a Comment