Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, April 8, 2010

Jamani hii ni Orijino! Mchina mwenyewe kastaajabu!!Katika pita pita zangu hii leo kwenye moja ya mitaa maarufu hapa nchini Malaysia uitwao Petaling Jaya nilikutana na binti( pichani juu), anayeitwa Solange. Nilimbembeleza sana aniruhusu nimpige picha hata moja, alisita kwa muda ila mwishowe akakubali, tena picha moja. Alinieleza kuwa anapendelea kula vitu vya kukaanga kwa wingi kama pizza, chips na kuku wa kisasa!

Wakinadada na wadau mpo hapoooooooo????

No comments:

Post a Comment