Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, April 13, 2010

JUMA NATURE AUNDA TMK HALISI MPYA...RICH ONE ATOLEWA.


Kundi la TMK HALISI limesign mkataba na kampun inayoitwa DLC ambayo inafanya biashara zake China na Tanzania, kampuni hii ambayo yenyewe ndo itasimamia kila ki2 ikiwemo mambo ya promotion kutafuta shows za nje na ndani ya nchi pia kusimamia mauzo ya kila kitu.
Juma alipata wakati mgumu kuchuja na kuchagua vichwa vinne atakavyo fanya navyo kazi ya kuunda TMK Halisi mpya na ye awe wa 5. badala ya halis iliyokuwa na watu 12.
Walio chaguliwa kusign mkataba huo ni
1 DOLO
2 BABA LEVO
3 JB WA MABAGA FRESH
4 KG SON
5 Juma Nature mwenyewe.
kwa sasa kundi limesha fanyika kazi inayoitwa MNATAKAJE? ambayo imeanza kusambazwa redion ijumaa hii

No comments:

Post a Comment