Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, April 6, 2010

T I ajinunulia gari lenye thamani ya dola 400,000 Kujipongeza!Juzi T I alitoa kali ya mwaka baada ya kununua gari lenye thamani ya dola 400 000 za kimarekani. Alifanya yote hayo kujipongeza kwa kutoka jela!
Haya sasa, sisi tunalalamika uchumi umeshuka mwenzetu anatoa millioni mia 500 za kibongo kujinunulia zawadi!

No comments:

Post a Comment