Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, April 7, 2010

ARSENAL YAZIKWA KIMYA KIMYA!


Usiku wa kuamkia leo tarehe saba kuliwa na patashika kali ampo kulikuwa na mpambano kati ya arsenal na barcelona ambapo arsenal walijikuta wakizikwa huku wa kijiona kwa magoli 4-1.ambapo kwa upande wa barcelona aliyeirusha timu ni messi amabaye alichapa magoli hayo peke yake huku katika timu ya arsenal aliyebahatika kuona lango la mwenzie ni kwenye tuta hapo wazeee!
Kwa upande mwingine kocha wa arsenal alisikika kwenye masikio ya UMBEA.COM kuwa amekubali matokea na mara nyingi timu kama ya barcelaona haichezi mechi nyingi so huwa wakicheza wakipata nafasi wanaitumia ipasavyo!

No comments:

Post a Comment