Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, April 14, 2010

BREKING NYUZZZZZZZZZ:JENGO LA TANESCO KINONDONI KASKAZINI LAWAKA MOTO

HABARI ZILIZOIFIKIA BLOG YA JAMII HIVI PUNDE,ZINARIPOTI KWAMBA JENGO LA TANESCO WILAYA YA KINONDONI KASKAZINI LINAWAKA MOTO.
CHANZO CHA MOTO HUO INADAIWA KUWA NI KUPIGA SHOTI KWA MASHINE YA (A/C) ILIYOKUWEPO NDANI YA OFISI YA MUHASIBU NA KUSABABISA MOTO MKUBWA SANA JENGONI HAPO.
ASKARI WA KIKOSI CHA ULINZI CHA EMO SECURITY WAPO KATIKA ENEO LA TUKIO KUHAKIKISHA KILA KITU KINAKWENDA SAWA.
MPAKA SASA HAKUNA ALIEDHULIKA KATIKA TUKIO HILO.PICHA NA HABARI KAMILI ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO,HIVYO TUVUTE SUBIRA.

No comments:

Post a Comment