Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, April 18, 2010

mmmh dr manyaunyau?


MANYAU NYAU AKIWA KAZINI

Anaitwa Dr Manyaunyau msanii aliyetokea kwenye usanii pale Kaole katika kundi lilotoa wasanii wengi maarufu wa filam nchini Tanzania.Kama unakumbuka katika michezo ya Kaole kama Radi na Fukuto iliyokuwa inarushwa katika kituo cha ITV alikuwa anajulikana kwa jina la Promoter Jongo akiwa na swahiba wake Juma Mchopanga na akawa anajishughulisha na mambo ya mapromotion kwa kuandaa maonyesho ya kisanii.
Kwa sasa Dr manyaunyau anajishughulisha na shughuli zake za uganga hapa nchini na nchi za nje.Dr Manyaunyau anasifika kwa kula paka akiwa katika shughuli zake za kiganga na kujipatia umaarufu mkubwa hapa nchini.
Kwa mawasiliano zaidi na Dr manyaunyau kwa maoni au ushauri piga no.0787-631291,
0755631291,
0712-553169
Email manyaunyau@yahoo.com
Kwa habari na mapicha kibao ya Dr Manyaunyau bofya RAY THE GREATEST

No comments:

Post a Comment