Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, April 19, 2010

HAHHAHAHA SIMBA WALE HAPO JANA.........!!!!!!!

MAMBO YALIVYOKUWA UWANJA WA TAIFA HAPO JANA KUMRADHI KWA WALE WALIOKUWA WAKITARAJIA KUPATA A-Z YA MPAMBANO HUU KUPITIA UMBEA.COM TOKA MWANZO WA MECHI KAMA TULIVYOAHIDI KUTOKANA NA SABABU AMBAZO ZILIKUWA NJE YA UWEZO WAKULETA TAARIFA HII WAKATI WA TUKIO ZIMA KUTOKANA NA KACHERO WETU WA UMBEA.COM KUZIMIA GHAFLA WAKATI MECHI IKIENDELEA ILA TWAMSHUKURU SIR GO KWASASA YU BUHERI WA AFYA TELE HIVYO TULIBAHATIKA KUPATA HIZI CHACHE TU KWA AJILI YENU WADAU!

Upande wa mashabiki wa Yanga ukisherehekea goli la kusawazisha la pil

Polisi walikuwa makini kufanya kazi yao kuhakikisha usalama unakuwepo uwanjani

Yanga wakimzonga Refarii baada ya mchezaji mwenzao kupewa kadi nyekundu

Umati wa mashabiki wa Simba ukifuatilia pambano kwa umakini mkubwa

Mashabiki wakiwa wanafuatilia mpambano

Mashabiki wa Yanga hawakukata tamaa muda wote walishangilia tuu

Muda unazidi kuyoyoma mambo ndio kama hivyo

Uhuru Seleman akimpita beki wa Yanga Amir Maftah huku Chuji akiangalia kwa umakini mkubwa

Ngasa huyo akijaribu kumpita beki wa Simba lakini wapi kijana alibanwa sana leo

Mgosi akimtisha kipa wa Yanga Obrein Curkovic

Hapa ilikuwa 3-3,lakini punde simba wakafunga goli la 4 NA kuhitimisha mpambano wa leo kwa simba kuibuka kidedea

No comments:

Post a Comment