Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, April 13, 2010

Ligi kuu ya Uingereza, nani amebaki na nini?


Baadhi tu ya wachezaji wa man u
Baadhi ya wachambuzi wa ligi kuu ya Uingereza wanasema taji ni la Chelsea kupoteza. Tayari wamejitosa mbele baada ya Manchester United kutoka sare dhidi ya Blackburn Rovers mwishoni mwa wiki.

Hivi ndivyo mambo yalivyo kwa sasa.

Chelsea wamecheza mechi 33 wana pointi 74
Man Utd wamecheza 34 wana pointi 73
Arsenal mechi 33, pointi 71.

Ukitaka kujua mkondo unaelekea wapi, hii hapa orodha ya mechi ambazo zimesalia kwa majabali hao watatu.

CHELSEA
12 Aprili Bolton (Nyumbani)
17 Aprili Tottenham (Ugenini)
25 Aprili Stoke (Nyumbani)
1 Mei Liverpool (Ugenini)
9 Mei Wigan (Nyumbani)

MAN UTD
17 Aprili Man City (Ugenini)
25 Aprili Tottenham (Nyumbani)
1 Mei Sunderland (Ugenini)
9 Mei Stoke (Nyumbani)

ARSENAL
14 Aprili Tottenham (Ugenini)
18 Aprili Wigan (Ugenini)
24 Aprili Man City (Nyumbani)
1 Mei Blackburn (Ugenini)
9 Mei Fulham (Nyumbani)

No comments:

Post a Comment