Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, April 18, 2010

LEO UWANJA WA TAIFA PANAWAKA MOTO


Leo ni leo asemaye ni jumatatu ni muuongo ni ndani ya uwanja wa taifa kuanzia tisa na nusu kati ya mashetani wa msimbazi na wana wa jangwani pambano ambalo litakuwa ni la kukata na shoka umbea.com haitakuwa nyuma kukuletea kila kinachojiri uwanjani kadri mechi inavyoendelea kuwa nasi kujua nani atakuwa bingwa siku ya leo

No comments:

Post a Comment