Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, April 5, 2010

DIANA ASTONI VILA KUZIKWA LEO!


Marehemu Diana Astoni Villa enzi za uhai wake

Atakumbukwa sana katika sanaa ya muziki hasa katika fani ya unenguaji ambapo aliwahi kuwa mnenguaji mahiri katika bendi kubwa mbalimbali za hapa Tanzania.marehemu anasemekana amefariki kwa ugongwa wa kifua kikuu tb ambao ulikuwa ukimsumbua kwa muda mrefu!marehemu atazikwa leo jumatatu katika makaburi ya KIGOGO MBUYUNI.
UONgozi mzima wa UMBEA.COM unawapa pole wafiwa wote na mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amin!

No comments:

Post a Comment