Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, April 8, 2010

Hemedi afyonza Uigizaji na kurudi kwenye muziki!

Mbongo aliyetuwakilisha vyema mwaka juzi ndani ya jumba la 'Tusker preject fame',namzungumzia Hemedy a.k.a phd, amelonga kwamba kwa hivi sasa anaweka nukta kwenye uigizaji aka Bongo movies na kurudi full force kwenye muziki ambacho ndicho kipenzi chake cha kwanza.Bishoo Hemedy kama anavyopenda kuitwa wakati mwingine anasema....

"Nina hisi kuna mengi nilijifunza nilipokuwepo ndani ya academy ya tusker project fame na sikupata nafasi ya kutumia ujuzi nilioupata...so huu ndio wakati wangu''..alisema bishoo huyu ambaye mpaka wakati tunachonga alikuwa amekamilisha track inayoitwa 'Far away'.

No comments:

Post a Comment