Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, April 12, 2010

VENGU WA ZE COMEDY ORIGINAL HIVI SASA ANAITWA BABA!!!


Msanii wa Ze Comedy Original akiwa katika pozi na mtoto wake baada ya kupelekewa mtoto huyo na maiwaifu Wake nyumbani kwake maeneo ya Makumbusho Kijitonyama wasaidiane katika malezi jama huyu alivyokuwa Busy ataweza kweli kumlea mtoto huyu kumpa matunzo na mapenzi yote?Huenda dogo naye akarithi Kazi ya baba yake hapo baadaye!!! Hongera kaka.

3 comments:

  1. SOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO COOOOOOOOOOOOOOOL!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. SAAAAAAAAAAAAAAFI SANA

    ReplyDelete
  3. soooooooooooooooooooooooooooooooogoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooood

    ReplyDelete