Man U karibuni Nyumbani,tena tuliwamisss kweli kweli....mpira umekwisha na matokeo ni kama ifuatavyo:- Man U 3 - 2 B.Munich. kwa matokeo hayo ni kwamba Man U tunabaki nao hapa home na hawa jamaa wengine wanaendelea kusonga mbele.....Poleni sana wana Man U
No comments:
Post a Comment