Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, April 8, 2010

Jamani Warembo na nyie mnachafua Mazingira???Kina dada wanne waliofumwa na kamera ya umbea.com wakichafua mazingira mchana kweupeee!!!

Kwa miaka mingi imekuwa ikisemekana kwamba wanaume ndio wanaongoza kwa kuchafua mazingira!

Je ni kweli?? Jibu unalo wewe mdau wangu

No comments:

Post a Comment