Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, April 6, 2010

JAMAA ALAKICHAPO SIKU YA PASAKA!Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna jamaa mmoja likamatwa akiwa anaiba ndala msikitini, katika eneo la kisutu jijin i dar es salaam wakati swala ikiendelea,

kumbe katika msikiti huo kuna timu maalum ya ulinzi ambayo inafanya kazi zake kwa umakini mkubea wanajua kabisa nani kaja na nini kwa hiyo ni rahisi sana kwa kuona kama kila aliyeingia na kiatu anatoka nacho na si vinginevyo.

sasa huyu kijana akiwa mgeni maeneo hayo alokwenda kufanya wizi huo alipojitahidi kujifanya kama vile anaelewa taratibu za hapo ilikuwa hali mbaya sana kwake kama si askari wa kulinda amani mitaani hali ya kijana huyo sijui ilikuwaje jumatatu ya pasaka
PICHA KWA HISANI YA AMANI MASUE

No comments:

Post a Comment