Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, April 22, 2010

Mtoto huyu ndio Taifa la kesho!!!???Camera yetu ilikutana na mtoto huyu akiruka geti la nyumbani kwao maeneo ya Makumbusho Kijitonyama pengine hata sio kwao,Uzio wa Nyumba hiyo ukiwa umezungushiwa fensi ya umeme ambayo ingekuwa on ingeweza kusababisha madhara makubwa kwa huyu mtoto pengine hata kifo.


Hebu cheki dogo huyu alivyokuwa komando,unadhani hatma ya huyu mtoto ni nini?hapo baadaye?Wadau tunaomba maoni yenu.

2 comments:

  1. uyu dogo ahikishwe adabu kidogo bila hivyo atapotea kabisaaaaaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  2. huyu dogo hajafuzwa na wazazi wake angekuwa ame funzwa asingefanya hiyo

    ReplyDelete