Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, April 1, 2010

Makamba, Mkuchika Waitema CCM na kurukia CCJ!Siku Mbili baada ya Mbunge wa Kishapu Fredy Mpendazoe kutangaza kuhamia CCJ, Viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuf Makamba ambaye ni Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wake George Huruma Mkuchika wamekihama chama hicho na kufuata upinzani.

Hatua hiyo ya kukihama CCM wameifika jana kwa nyakati tofauti na kuahidi kuleta maendeleo makubwa huko walipo.
leo siku ya wajinga.

Kufuatia hali hiyo lile ambalo lilisemwa na CCJ kuwa vigogo wengi wa CCM watahamia huko limeanza kudhhirika rasmi.

No comments:

Post a Comment