Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, March 19, 2010

Adhabu hizi zinafundisha au udhalilishaji?Wengi tiliosoma Saint Government aka St. Mchangani tushashika masikio kwa style hii sana tu!
Ukiona kama mchezo, ila unaumia, acha tu, miguu inakosa nguvu kabisa, afu kama una ugonjwa wa kutoka damu puani, au kusikia kizunguzungu inakua balaa!
Afu kuna ya kuita juu, mkiwa wengi mtu anaweza kudhani mnafanya choreography, maana inapendeza, kumbe mnateseka, ila fimbo ndio kiboko ya wote!
Ingawa siku hizi watoto wengi wanasoma St Private aka English Academy, no fimbo, no adhabu kali, je adhabu hizi zilikua zinasaidia?
picha na inno lyimo

No comments:

Post a Comment