Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, March 12, 2010

SOMA HAPA NI MUHIMU KWAKO MWANA FACEBOOK!


Muda mfupi uliopita niliona Status ya mwanadada Angella Lubala ikiwa imeandikwa kitu ambacho kilinishtua sana na sikuamini, iliandikwa hivi:

I`M HIV POSITIVE NIMEAMUA KUJITANGAZA..AND THE LIST OF MY MAN IS..BEN.. ALEX MASSAMU..JAMES MACHIBYA.. PERES PAUL..NELLY KISANGA..AKBAR THABEET..CHID BENZ, HAMIS MWINJUMA.. FERGUSON CHRIS.WILL NA WENGINE WENGI!..

Nikaingia kwenye Inbox na kumuuliza kwamba ulichoandika ni kweli au ulikuwa unatani..akujibu na kuongezea tena kwenye hiyo Status aliyoiweka

am sorry my parents for being living to you and my family for telling you all the lies..the real Angella is different everybody who knows me will tell you the truth..i ve done abortion and yes am not a virgin!.i confess to the world am sorry!....

Baada ya hapo kwa kila mvula aliyemtaja kiliandikwa kitu kama hiki

Young Nelly: I LOVED YOU NELLY SO MUCH NISAMEHE I KILLED YOU

Akbar Thabeet: ITS OVER BETWEEN US AKBAR AM SORRY!..

Chidi Beenz: I WONT BE CALLING YOU ANYMORE AND DONT CALL ME ITS OVER BETWEEN US!.WAS NICE BEING WITH YOU

Hamis Corleone Mwinjuma: HEY HANDSOME AM SORRY TO SAY ITS OVER BETWEEN US..THANK YOU FOR KEEPING ME COMPANY WHEN I NEEDED YOU ANDWHEN I WAS LONELY!.I LIKED YOU SO MUCH!.AM SO SORRY ITS OVER


Na akamalizia kwa mtu mwingine ambaye akumtaja hapo mwanzo

And yes i slept with Miss redds organiserz to get the title in 2008..And now i regreat all that am so sorry world!.my funds and people i ve let you down am terribly sorry!..there is alot ui ve offer to you but alot was kept as a secret am trully sorry!..

Mwisho akamalizia kwa kusema

its the truth fromy my heart.and ii havent mantioned alot of peple bse i used condom with them!.


Baada hapo niliwasiliana na mdogo wangu kutoka G5 Click (Ombeni) na kumuuliza kwasababu alisema amempigia simu na hatimaye akanijibu ni uwongo na anaumia sana kuona mambo kama hayo yanaendelea. Kumbe kuna mtu aliblock account yake ya Facebook na huyo mtu alikuwa anajulikana kwa jina la

FRANCIS MONGI.


SASA WEWE JAMAA ULIKUWA UNATAKA KUUJULISHA ULIMWENGU KUWA HAO WATU WALIOTAJWA ILI WAFANYAJWE...HUO NI UJINGA KUHARIBU MAJINA YA WATU NA KUMWARIBIA DADA WA WATU JINA LAKE,

It's NOT good kwa kweli.

No comments:

Post a Comment