Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 16, 2010

Nini kifanyike kuhusu hii mikokoteni barabarani


Hivi karibuni mikokoteni imedaiwa ndio pia kisababishi kimojawapo cha foleni barabarani,kuna wakati ilitolewa tamko kuwa ipigwe marufuku kufika baadhi ya maeneo,lakini baado ndio kwanza kama hakuna linalowahusu,KULIKONI?! kwa kuwasaidia wahusika ni nini kifanyike kuondokana na tatizo hilo la Mikokoteni kama hivi pichani?
na inno lyimo!

No comments:

Post a Comment