Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 18, 2010

UTAPELI WA KWENYE MTANDAO!

NIMEAMBIWA HUYU DADA ANATUMIA HIZI PICHA KUFANYA UTAPELI...LAKINI INAWEZEKANA PIA WANAMSINGIZIA MAANA KUMEZUKA MICHEZO YA AJABU AJABU SANA SIKU HIZI


Huyu tapeli yupo ktk tagged amekuwa akinisumbua mimi na hata mafariki zangu kwa kuda mrefu akitumia the same messege lakini anabadili email tu na picha so if posible wataadhalishe watu anakutumia mail mwisho wa siku anakuomba account number yako alafu sijui wanatumia mbinu gani unakuja kushitukia amechukua pesa zako ktk account yako hizo ni miongoni mwa picha anazotumia nyengine ntakutumia next time na majina tofauti lakini the same messege.....
MAIL INAYODAIWA KUTUMWA NA HUYU DADA NI KAMA IFUATAYO....NARUDIA KUSISITIZA SINA UHAKIKA NA HILI NIMETUMIWA TU ILI KAMA NI KWELI MCHUKUE TAHADHARI

Hello Dear,
Thanks for your reply to my mail at tagged.
How is your day ? I guess nice.
Dear, is a little bit cold over here in Dakar Senegal.
My name is Anita Jaafar I'm 25 years, from Sudan in northeast Africa. I am 5' 7" tall, Fair in complexion,Single (never married before) searching for a honest and sincere person to exchange mails, ideas and have a lovely friendship.
My late father Dr.Omar Jaafar the managing director of Daniels ventures (Ltd) and he was the personal adviser to the former head of state before the rebels attacked our house one early morning and killed my mother and my father in cold blood.

I am presently residing in the refugee camp here in Dakar Senegal as a result of the civil war that was fought in my country. It was only me that is alive now and I managed to make my way to a nearby country Senegal where i am living now in a refugee camp,and this computer is belonging to a Reverend that has a church here in the camp. My hobbies are reading, cooking, cinema, movies,dancing and fond of little kids.I would like to know more about you.Your likes and dislikes, hobbies and what you are doing presently.
It will be my greatest pleasure to know ourself more and have a good relationship which will bring a positive result to our life in future.I will tell you more about myself in my next mail,
Attached here is my photo hope you will like it,
Hoping to hear from you soonest,
Yours.
Anita
na mdau wetu!

1 comment:

  1. haaaaahahahahaha...dah mzazi hiyo ni kweli kabisaaa yan na tena wala si kwa blog hii tuuu...kwa web kibao ppo ka huyo wapo...hehehehe...jaman kuweni makin sana hasa kwa wale wanaobabaika na waremboz....lol!!!WIZI+UONGO+UTAPELI MTUPPU= .....jibu unalo weye mwenzangu...pamoja innocent

    ReplyDelete