Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, March 12, 2010

BREAKING NEWZZZZZZZZZZ!Ni basi la Shabiby likitokea Arusha kwenda Dodoma. Ajali ilitokea majira ya saa kumi. Mabasi hayo ( Shabiby na Mohamed Trans) inasimuliwa na abiria kuwa yaliendeshwa katika mwendo wa 'mashindano'. Kwenye msitu wa Mwidu ikatokea hali iliyopelekea dereva wa basi la Shabiby kushindwa kumalizia overtake na kulivaa lori.
Tuliowahi kufika eneo la tukio tulisaidia kutoa taadhari kwa madereva wengine ili yasitokee maafa zaidi. Tulisaidiana pia katika kufanya kazi ya ' Ulinzi wa Amani' ili kuwasaidia abiria wasiporwe mali zao. Abiria waliofariki hawakuzidi watatu lakini wengi wamejeruhiwa vibaya. Tunaweza kabisa kusema, kuwa ajali ile imesababishwa na uzembe wa dereva. Safari yangu ya Dar - Iringa imelazimika kuwa ya ' mafungu',
Habari na kader adara!

No comments:

Post a Comment