Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 18, 2010

ISSA MACHIBYA NI MFANO WA KUIGWA NA VIONGOZI WENGINE
Kiongozi mzuri ni yule anayeongoza kwa vitendo. Ni yule ambayo aliye karibu na wananchi akifuatilia yanayojiri badala ya kukaa ofisini. Ni yule ambaye haogopi kuchafuka.
Nadhani utakubaliana nami kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya ni kiongozi wa vitendo na mfano wa kuigwa. Hongera sana Mkuu wa Mkoa.

No comments:

Post a Comment