Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, March 19, 2010

UKATILI HUU UMEPITA KIASI NCHINI NIGERIA!!!Ama kweli Kiama Kimekaribia!! Binadamu amekosa utu hata kushinda kipindi cha sodoma na gomora. Hao waliolala ni baadhi ya wachache kamera yetu ya umbea iliyobahatika kuwapiga picha baada ya kushuhudia bus likitekwa nyara na maharamia. Abiria hao walitakiwa kutoa kila walichonacho na baadhi yao kubakwa. Wale ambao hawakuwa na kitu chochote waliamuriwa kulala chini kisha dereva wa basi akalizimishwa kuwakanyaga kwa basi!!
Jamani huu ni unyama wa hali ya juu, umbea.com inalaani kitendo hichi kwa nguvu zote, wote waliohusika wachukuliwe hatua kali za kisheria!

No comments:

Post a Comment