Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, March 15, 2010

UKINGO WA BARABARA YA OCEAN ROAD LEOUkingo wa barabara ya ocean road jijini Dar umeendelea kuliwa na maji ya bahari na endapo hatua za haraka hazijachukuliwa itabidi hata JK awe anapita katikati ya jiji baada ya barabara hii kufungwa
picha na ntuli!

No comments:

Post a Comment