Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, March 15, 2010

MAREHEEMU PENDO KUAGWA KESHO ASUBUHI!Kesho Jumatatu asubuhi mwili wa marehemu Pendo utaagwa pale Hosp ya Mwimbili kuanzia saa nne na wakimaliza mwili huo utasafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro-Moshi, kule wanatarajia kumzika siku ya Jumanne majira ya saa 8 mchana.
Jana kuna baadhi ya wasanii waliingia studio na kutunga wimbo kwaajili ya kumpa pole msanii mwenzao Madee kwa kuondokewa na kipenzi chake, wasanii hao ni Keisha, Hussen Machozi na Tundaman.
PICHA KWA HISANI YA DJ CHOKA!

No comments:

Post a Comment