Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Saturday, March 13, 2010

Mshukuru Mungu Kwa Hata hiko Kidogo Ulichokuwa Nacho!Mshukuru Mungu kwa kile ulichokuwa nacho na anachokujalia kupata kila siku kwani wengine hawajajaliwa kukipata hicho unachokipata na siku zote Mkumbuke hata kwa maombi!

Nafikiri kiasi flani hata mimi nimebadilika kutokana na hali halisi ya maisha ambayo nimepitia..

Nilikuwa mtu wa kuweka kinyongo, kutosahau ubaya niliofanyiwa na watu hasa marafiki zangu ambao wamenigeuka kwa kunisema vibaya lakini namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kunipa moyo mwingine tofauti kabisa…

Kwa sasa nimeamua kukunjua moyo na kutoweka kinyongo kwa mtu yoyote ambaye ni mbaya wangu since I cant help İt having them back…As well İm sorry kwa wote niliowakwanza…I know İ made a mistake and Here İam,pse forgive Me…whoever out there nilıyekukwanza…mmmh.

İm loving all people who are there to critisize and loving me b’cause have no more ROOM of HATRED in my heart! So pse Set your heart Free and Mshukuru Mungu kwa Ulichojaaliwa Nacho b’cause thats you and you got İt from Almight..
picha na inno lyimo!

No comments:

Post a Comment