Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 16, 2010

Ama kweli bongo mpango mzimaNimepishana na mchuma huu ukiwa pua "uchi" ukitembea barabarani bila ya hofu ukiwa hivi,pichani ulikuwa ukipishana na daladala jioni ya leo Temeke,jijini dar,ama kweli Bongo mpango mzima.

No comments:

Post a Comment